GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wapumbavu huwa Wanapungua duniani Mkuu?Hivi kumbe kuna watu wanafanya hivi kweli?
Nilikuwa naona kwenye movies enzi hizo nafuatilia bongo movies nilipokuwa dogo, nikadhani ni mambo ya movies tu
Si kila kizuri kifanywacho hufanywa sababu ya mapenzi, kuna mengi hufanywa sababu ya utu tu ila watu hushindwa kurlewa msukumo uliowapelekea wafanye vileBaada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine nikiona Mwanaume anamsaidia Figo Mpenziwe au Mke huwa si tu Namdharau bali namuona ni Mwendawazimu Aliyetukuka.
Imeisha hiyo.......!!
Wanaofanya utu wanakwenda kuchangia damu kwenye bank ya damu na wanatowa willing wakifa viungo vyao muhimu vichukuliwe kusaidia wengine, huo ndio utu.Si kila kizuri kiganywacho hufanywa sababu ya mapenzi, kuna mengi hufanywa sababu ya utu tu ila watu hushindwa kurlewa msukumo uliowapelekea wafanye vile
Ooh kumbe kuna vituo vya kupelekea utu wako na lazima usndike husia? Kumbe ukifanya nje ya maeneo hayo siyo utu bali ni mapenzi! Hata majeruhi ukiwasaidia nje ya hospitali ni mapenzi, siyo utu, nilikuwa sijui ahsante kwa kunieleweshaWanaofanya utu wanakwenda kuchangia damu kwenye bank ya damu na wanatowa willing wakifa viungo vyao muhimu vichukuliwe kusaidia wengine, huo ndio utu.
Siyo kisa tako limekuzuzuwa eti umchangie figo, nyooooo.
Iko boro.Ooh kumbe kuna vituo vya kupelekea utu wako na lazima usndike husia? Kumbe ukifanya nje ya maeneo hayo siyo utu bali ni mapenzi! Hata majeruhi ukiwasaidia nje ya hospitali ni mapenzi, siyo utu, nilikuwa sijui ahsante kwa kunielewesha
Wewe una tako?
Mwache tu atambe, waliowekewa figo huishi muda mfupi, bora sana kusafisha damu kila wiki kuna watu wana miaka 20 mpaka 30 kadri nilivyisikia simulizi za mitaani.Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine nikiona Mwanaume anamsaidia Figo Mpenziwe au Mke huwa si tu Namdharau bali namuona ni Mwendawazimu Aliyetukuka.
Imeisha hiyo.......!!
Ndiyo msanuke sasa shauri zenu.Umetusanuaa mkuu