Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Maana naona siku hizi watu tunahimizwa katika Media zote as if ni sahihi kufanya hivyo coz mi sioni yanatufundisha chochote katika maisha zaidi ya upuuzi mtupu. Kama vipi nendeni mkawaombee kura kwa wahuni wenzao, shwain!

Wanaoungana nami kwenye hili leteni michango yenu hapa. Na tupinge mashindano ya kipuuzi kama haya nchini kwetu.
 
Bahati nzuri halazimishwi MTU...ukiona upuuzi unapita hivii...tena kimya kimya bila kusumbua wenzio...

Na bora umpigie Idriss atuletee mijihela home kuliko kuwapigia kura kina nanihii wa Escrow wanaozihamishia pesa zetu kwenye mabenki ya Uswis....

Ni hayo tuu....
 
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.

Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?
 
Wewe kama unaona huwezi kupiga kura na huoni umuhimu wake acha ambao wanajisikia kupiga kura wapige..Sidhani kama kuna aliyelazimishwa kupiga. .this is a free world..Mtu anafanya anachoona kwake kinamfurahisha..So kama huoni umuhimu wake fanya yako mama
 
kwani kuna mtu kakulazimisha kupiga kura...watu wa bara utawajua tu mambo yao wana wivu wivu kama wameolewa nyumba moja
 
Sasa wanaotembea utupu na wanaoona raha na kuwashabikia watembea utupu kama si wachawi ni nani?

Sio wewe nimekuona kwenye thread flan ukishabikia mtembea uchi tena na kajirecord video ya ngono mwenyewe ukasema watu wanamuonea wivu kwaajili ya success????usinichoshe mie
 
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.

Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?

Bi Mkubwa kwahili naungana nawewe kwa 100%

Tunawezaje kuwapigia kura wahuni, wanaweka miili yao hadharani, watembea uchi na matendo machafu yakila aina.

Hii nikukosa weledi, hekima nakupoteza maadili.

Ni upuuzi mkubwa kuendekeza wanafanya upuuzi.
 
Watu hawa wanaakili kweli?

1. Wamefungiwa ndani

2. Wanalewa nakunywa hovyo

3. wanaoga hadharani

4. wanafanya matendo machafu na ya hovyo hadharani

5. wanaigiza matendo na maisha ya kuigiza ambayo sio halisi kwa mwafrika wakweli

6. wanaopanga mbinu za kuangushana, kuaibishana na kusalitiana

Tunajifunza nini kwa washenzi hawa wa Big Brother kama sio kupotosha asili na maadili ya mwafrika?
 
Kama inakuuzi, kuboa ..futa delete kabisa.
 
Back
Top Bottom