Nilijua watu kama nyinyi hamtakosa tena bahat.nzuri umekua wa kwanza... Una uhakika gani kama mimi ni mtanzania hadi useme watanzania wenzangu.!
usiangalie ukubwa wa tusi angalia ukubwa wa mtu unayemtukana
Naam, ni upuuzi usio na mfano. Kati ya civilization za mwanzo kabisa kwa binaadam ni pamoja na kujuwa kujistiri tupu zake na kuvaa nguo, leo tukapigie kura wavuwa nguo na watembea utupu kwa makusudi kabisa wakijianika bila kujali chochote.
Eti maendeleo! Khaa! kama si ujinga huo ni nini?
Sasa wanaotembea utupu na wanaoona raha na kuwashabikia watembea utupu kama si wachawi ni nani?