Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Jamani poleni na mpuuzi wenu naaikia amekosa ushindi.. Ha ha ha..
 
Lol.. Barry Bwana, sasa kama umebadili uraia haya ya umiss na bba yanakukera nn. Tho sio kweli tunajua bado mbongo na hadi ulikosoma tunakujua.

Ha ha... Kama wanijua ebu niinbox na chochote kitakacho nifanya niamini maneno yako.
Maana hata mi nakufaham mwanzo mwisho sema ww hujui tu.
 
The greatest battle of all time is the battle of the mind! When your mind is conquered you are going no where
 
Ni upuuuzi ulioota mzizi kushabikia upuuzi kama huu wa kuwapigia wapuuzi wanaotembea uchi kwa upuuzi wa kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…