Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Mbona happiness kwa miss world sioni heka heka zake....
 
.. FaizaFoxy .. KikulachoChako ni kweli huo ni mchezo wa kipumbavu kabisa ni kinyume na maadili yetu,ina haamasishaaa ushoga na usagaji....
mchezo haufai kabisa kuangaliwaaa
 
Last edited by a moderator:
BBA ni upuuzi usio na nfano na nashangaa kwa nn hata ibaruhusiwa kurushwa kwenye tv hapa tanzania. Mambo ya uchafu kabisa yale na ushenzi. Na nawashangaa sana wanaoshabikia. Yaani wakati mwingine najiuliza kwa nn hawa boko haram au al-shabaab wasingeendaga huko? Maana hao ndio wanaotakiwa kupotezwa. Wao na washabiki wao popote walipo....
 

Ukweli ndio huo ni ujinga lakin mnaona sawa we mwanao anaweza kuanika nyeti zake na ukaona sawa tu? Ni juha peke yake ndio anaweza kuona sawa lkn sio kwa mwenye akili timamu
Maana wajinga wengi tu hata sigara imeandikwa kabisa kwenye Packet yake ni"Hatari kwa afya yako"lkn mtu anavuta
 
ukisoma hizi comments zoote hapa juu utagundua nani ni mwenye akili,nani mbulula,nani kichwa tikiti na wafuata mkumbo utawajua TU!

nashukuru wote mlioelewa mada na kuichangia ipasavyo,jitahidi kwa nafasi yako uliopo kuisafisha jamiii na matendo yao machafu ikibidi basi yachukie tu!
 

nakuteuwa kuwa waziri wa nishati na madini kumrithi prof.. maana una busara...kwa nini uingilie maamuzi ya mwenzako..
 
Last edited by a moderator:

Kuwa mzalendo, nitampigia kura as long as najua namsaidia mtanzania mwenzagu kuinuka kiuchumi.
 
tuko pamoja..hakika ni upuuzi mtupu.
 
Aliekwambia kua uzalendo unapimwa kwa kura kwa mkaa uchi ni nani....
Wewe ndio uwe mzalendo kwa mashoga na wasagaji wenzio sio mimi....

Hebu nisaidie kuna mtanzania mwenzetu dola laki 3 inamchungulia na kitu pekee kati yake na hiyo pesa ni kura yangu. Je ni bora nimnyime kura abaki maskini kisa alikaa uchi au kumpigia kura achukue ma $$$ halafu tumkeme badae.
 

Hivi kwani kuna mtu amekatazwa kutoa views zake?? Km kulifanyika matangazo kupiga kura kwa waenda uchi publicly kwa nn na yy asitoe maoni yake wengine wakaona? Hayo matangazo hatajamuexclude mtu km hayaridhishi wacha na wengine watoe maoni yao .. hivi mukisema mtu apite kimya kimya au afanye yake mnamaanisha nn?!!
 
Faiza foxy kipi bora kuwapigia kura ccm ambao kila kukicha serikali yao na wanachama wao ni mafisadi na wahujumu uchumi au kumpigia kura idriss ambae amekwenda kujitafutia maisha yake kwa namna anayoamini itamtoa katika maisha ya kimasikini?
 

nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…