Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

Leo ndo game ya bba inaisha tuendelee ku vote jameni mchizi alete pesa tz ziingie kwenye mzunguko...
 

Point big like
 
Mimi huwa sishabikii upuuzi wowte ule ambao unashusha hadhi ya ubinadamu. Watembea uchi wote hawafai kuitwa binadamu

Binadamu ukimuona utamjua wewe? Nani alikupa upolisi wa kulinda hadhi ya binadamu....
Wanaotembea uchi ni binadamu zaidi yako aisee sababu hata hatukuumbwa na nguo
 
Huwa najiuliza hili shindano wanashindana kufanya nini hasa? ili mtu apate ushindi anafanya nini? sijawai kupata jibu!
 

Kwa hiyo kinacho shindaniwa ni kukaa uchi?
 
Hahahhaa mtuwache miaka 808,000 figa ya mshiko wa escrow.... Tumeshampigia kura idris, period!
 
i still try to find out the logic and motives of unrelated opposite sex people showering together,while nude...
 
imagine if boarding schools (for above 18yrs students) and universities were like that...
 
Nimepiga kura mia 4 asee.. daaaahh kupiga kura kwenye hili shindano raha sana asee, nilichoshtuka wale ambae wanajifanya sipigi kura ni watumiaji wa Azam TV na Star Times asee, ukimpa hata remote ya DSTV hawezi kuoperate hahahaha... Unaachaje kuangalia Big Brother kama unayo DSTV?? Utakua kichaa wewe asee hahahaha
 
imagine if boarding schools (for above 18yrs students) and universities were like that...
View attachment 208774

Hiyo ni VIP asee, ukitaka kuona wakiwa bathroom unalipia extra charges. Unless hao wanaosema wanatembea uchi labda wanaangalia BBA nyingine sio hii... Mule ndani wanafundishwa vitu vingi tu. Nando mshiriki wa Tanzania last year kapata deal la kuigiza filamu moja kali sana huko Cameroon
 

Njoeni mumuone mshamba mwengine hapa jf...
Kwahyo wewe umeona kuangalia dstv ndio ujanja wa mwisho?
Eti nando kapata dili la kuigiza kisa kapata mafunzo kwenye bba, je hao waigizaji wengine wakubwa tunawaofahamu sisi walifundishwa kwenye jumba la bba?
Utakakariri maisha mpaka lini wwewe mwana kuzaliwa siku hizi za nyoka!?
 
Inabidi watu wawe wanapimwa akili kabla ya kujiunga na JF
 
dogo kashinda,ata km kuna mwenye chuki binafsi inabidi wampongeze tu.
 
Dogo kashinda na kachukua mtonyo wa maana sana,

Hongera kwake.
 
Wakati dogo kachukua $300,000 almost 522,000,000

Hihiiiii
Hata kama ange chukua $ 300,000 billion
Bado aibadilishi kua mchezo huo ni upuuzi...
Stil miss tz/world and bba games ni usheteni na usodoma in new order.
Keep on ukibisha until this satinic games knock on your door.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…