Ni upuuzi mtupu kumpigia kura Idris na Miss World Tanzania

boss kweli kachukua! lakini akiulizwa alifanya nini hadi ameshinda atasemaje kwa mfano?

He was an entertainer he made prople like us glued 24/7 in our tv screens jus enjoying his games.... U can call us stupid likini thts how we live afu tuko happy balaaa...
Kila mtu na starehe yake banaaa
 
best comment so far...!
 
Daah watu washamba kweli kweli DSTV yenyewe wameanza kuangalia juzi juzi aisee...watu DSTV kitambo toka 1997 enzi hizo Mnet ipo namba 2, Movie Magic 1 namba 4, Movie Magic 2 namba 5 kipindi hicho Egoli ndo ina bamba hatari watoto wa juzi juzi DSTV compact wanajikuta wajanja niggaz pleeeeaseeee....!!wengine wanajiona matajiri DSTV kitu gani.....
 
Ah, it doesn't matter kafanya nini... who cares? By the way, kabla hata sijafikiria kumuuliza Idris kafanya nini hadi ameshinda nitaanza kwanza kuuliza hivi akina William Ngeleja wamefanya nini hadi walipwe mamilioni yote yale na Braza Ruge!!!

yanii umemalizaa yote kha..hii nchi na baadhi ya watu wake wa ajabu,wanafikiri ukifuatilia siasa mnoo ww ndio utakuwa wa maana sana kumbe kupeana MaBP tu!!si bure wakina chenge watakuwa kweny hii thread walitaka wachote wao tu!!halaf tunaweza ikawa tunabishana na babu zetu hawataelewa hataa Lol
 
I meant a fool bro... Sorry!

I know wat u meant!!!....
to u i can fool, bt i knw hu i am..... and puliiiz...... for the lov of God u can't change or make me smone who am nat....
For u i might be fool, i a agree so long u don pay ma billz am nat offended... By the way im nat yo bro sir....
 
ubarikiwe
ni upuuuzi usio na mfano
 
Made in tanzania! mashindano ya maana hatufanyi vizuri haya ambao hayana hata chembe ya maadili ndio wa kwanza hatubahatishi tunatupia tu.
 
Ongeeni vyovyote muwezavyo lakini ukweli unabaki palepale BBA ni upuuzi mtupu na ushetani mtupu.

Anayedhani pesa ndio utu wa mtu basi ajitokeze hapa nimuelekeze wafiraji maarufu hapa mjini ambao wanatoa pesa na magari kwa ajili ya kunduz tu.
 
Kusema kweli haya mashindano ya BBA ni ujinga, upuuzi na ushetani mtupu. Hayana faida yoyote kwa jamii.
 
Ongeeni vyovyote muwezavyo lakini ukweli unabaki palepale BBA ni upuuzi mtupu na ushetani mtupu.

Anayedhani pesa ndio utu wa mtu basi ajitokeze hapa nimuelekeze wafiraji maarufu hapa mjini ambao wanatoa pesa na magari kwa ajili ya kunduz tu.

hahahaaaaaaaaaaaaaa
umeua bendi
 
Hongera Idris kwa ushindi wa millioni mia tano na uchafu achana na mijitu yenye wivu hizo pesa hawatakuja hata kugusa maishayao yote plus pension zao za uzeeni... Kama unachefuka na BBA lamba ndimu usitapike.. hutaki kunya Boga hahaha
 
Kama si mwanamke unae tanga tanga barabarani kutafta mijidume utakua ni dume shoga....
Maana maneno yako yanaonesha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…