Ni Usaliti kwa mwanaCCM Kumpuuza au kumbeza Humprey Polepole

Ni Usaliti kwa mwanaCCM Kumpuuza au kumbeza Humprey Polepole

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni fact kuwa tulipokuwa tunaelekea uchaguzi wa mwaka 2015 CCM ilikuwa hoi bin taabani katika taswira yake kweye jamii.
Alihitajika mwamba wa kuikomboa.

Nampongeza Mhe Jakaya kwa kutulutea JPM ambaye aliiheshimisha CCM. Katika harakati za kampeni Magufuli alikiri kuwa wapo wana CCM waliokuwa wanamsaliti yaani mchana wapo CCM na usiku wapo Chadema..lakini alipambana na akashinda.

Baada ya kushinda Magufuli aliamua kuja kizalendo zaidi yaani kuwanyoosha wote ndani na nje ya CCM...He did it perfectly.
moja wapo ya Machineries alizotumia Magufuli kunyoosha Chama,Serikali na Wahuni ni pamoja na kina Bashiru,PolePole,nape na makamba(kabla ya kumissbehave).

Magufuli aliunda Timu (Task force) ya kufuatilia mali za chama ambazo zinatumiwa na wachache kujineemesha .Taskforce hii imefanya kazi kubwa sana na kuleta heshima ya "wajumbe" kwenye chama ni mhuni tu na mpigaji ambaye anaweza kuibeza.

Zaidi tunajua masakata ya mbaazi, mafuta, beured change na korosho yalivyomsumbua Magufuli yaani wanamaslahi wa bidhaa hizo walilalama sana na walipiga kelele sana.

sasa inaonekana hawa wamepumua kwa sasa ...sio tatizo ...tatizo wanataka kuleta kebehi na majivuno...hilo sio sawa na linapaswa kudhibitiwa haraka na vilivyo.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Yupo anapita tuu kama wengine waliopita.


 
Hata zile maiti kwenye viroba na kupotea kwa Ben , Azory na wengine pamoja na kuuawa kwa Lissu ni miongoni mwa Pongezi zako ?
Lissu kafariki lini tena?Mbona hii taarifa mmeifunika?DUNDERHEAD.

nyie Magaidi mmepanga kumuua lissu?!mpango wenu wa kumuua lissu kama mlivyofanya kwa WANGWE ulishajulikana ndio maana Gaidi lenu lipo ndani.
 
Tukio la LISSU alisikitika siku mbili tu ambazo walikuwa wanasema hali ya LISSU ni mbaya sana. Baada ya LISSU kupata nafuu akaanza kejeli.
Gaidi lenu lilitaka lissu afe ili Magufuli alaumiwe
 
Gaidi lenu lilitaka lissu afe ili Magufuli alaumiwe
Sasa nimethibitisha kwamba wewe ni mtu duni sana kichwani

Instagram%20media%20-%20Bt2Krycj3b7.jpg
 
Mkuu hivi wewe ndio Polepole nini? Just kubali tu enzi za “unaijua vietee wewe”? zimekwisha!!!mbona sie twatembelea baiskeli na vibaby walker mpaka Leo na tumeridhika? Acha hizo banaa!!!
 
Back
Top Bottom