Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

mtihani upo katika kujua kama kweli anakupenda........................au ndizo jitihada za kukusomesha wakati wa kuishia umewadia..............uvumilivu makes sense kama upo pande zote..............a two way traffic.....................
 
Dah!!! Huu ushauri sijui niuchukue au sijui niuache, ngoja nitafakari kwanza baada ya kuusoma
 
mtihani upo katika kujua kama kweli anakupenda........................au ndizo jitihada za kukusomesha wakati wa kuishia umewadia..............uvumilivu makes sense kama upo pande zote..............a two way traffic.....................
<br />
<br /
Umeona eeh!
 
Hahahaha!!! Lol..hii kali kweli Shantel
 
ushaurii wako mzurii mkuu, ila uvumilivu unategemea na tatizo linalovumiliwa!
kuna uvumilivu mwingine ni ujinga , unakuja kujilaumu baadae sana ushafanya mistake kibao yan! unaanza kujuta na ninge...
bora uache na kuachwa mpaka hapo utakapompata wa kuona anakufaa, kuliko kuvumilia matatizo ya kujitakia!
 
TF nasoma hapa Interview kati ya Oprah na marehemu Whitney H.
Machozi yananitoka kuna uvumilivu mwingine mbaya sana mmh
Asante kwa ushauri wako Mkwe
 
Umenigusa
 
Tujifunze kusamehe, kusamehe ni kitendo cha kupooza au kuacha kujisikia umekwazwa au umekosewa au umeudhiwa au kuondoa hasira mwa mtu aliyekukosea, wengi wamekosa kuponywa magonjwa hata kwa maombi kwasababu wameshindwa kusamehe, wengine afya zao zinazidi kuzorota kisa hawataki kusamehe wenzao.

Watu wanaweza kutuumiza kwa njia nyingi hata hivyo tunahitaji kuwasamehe, pia kusamehe wakati mwingine sio rahisi kama wengine wanavyodhani hata hivyo inabidi kusamehe, hata hivyo kama vilivyo vitu vingi hasira kwa wengine is easier said than done, huwa inakuwa ngumu kusamehe hasa pale yule tunayetaka kumsamehe anaonekana hana sababu au hastahili kusamehewa..
 


Msg sent but not delivered!
 
Sometimes ni ngumu kuvumilia hasa kama mapenzi yapo undefined! Mtu anakuwa haeleweki leo mapenzi moto moto kesho vituko visivyoeleweka.. Akha.. Nabwaga manyanga chini! Ya nini.. I believe human beings hatupo sawa so i will be hopeful kukutana na mwenye vituko vilivyo tolerable kwangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…