Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Kuna Tatizo kubwa hasa kwa kina dada, kuchelewa ama kutopokea simu kabisa, kwa kweli nimeshashuhudia watu wakirushiana maneo sana kwa mtu kuchelewa kupokea ama kutopokea kabisa simu,
mwanzo na mimi nilkuwa kwenye huo mkumbo wa kulaumu, lakini baada ya uchunguzi wangu nikaja ona wakina dada/mama wana pilika nyingi sana (kupika, kulea, kufanya usafi, kufua nk) ambazo mara nyingi huwafanya wawe mbali na simu na pia kwa wale wanaoenda maofisini pia unaweza kukuta mwanadada/mama kaweka simu kwenye pochi mpaka asikie mlio ni issue

Hapa ndipo naungana na Great Thinker The Finest, unaweza kugombana na mtu kwa sababu hakupokea simu na yote hayo ni 'Dirty Mind' zako tu, unaweza kukwazika sana kwenye issue ya simu, lakini mwenzio anakupenda kufa na anakutunzia heshima vibaya mno

anyway kwa kweli ni bonge la ushauri umeutoa The Finest
 
well said finest but we do most of the time take advantage ya mapenzi wanayotupa wale wanaotupenda sana kusamehe ni muhimu lakini mara nyingi yale makovu tunayoweka huwa ni ngumu sana kufutika ndio ile watu wanaendelea kuwepo tu kwa sababu labda ya watoto ,mtazamo wa jamii etc .

tujitahidi sana kuacha kuwafanyia mizaha wale wanaotupenda.mapenzi yakiingia majeraha ni sumu isiyotibika you will never be the same
 
Naitafutia hii kitu dawa yake bana hebu niambiedawa yake maana bana mimi mtu akichelewa kupokea simu dah!!
 
Sina cha kuongeza umemaliza kila kitu :clap2::clap2::clap2:
 
Sina cha kuongeza umemaliza kila kitu :clap2::clap2::clap2:

Mpwa umesema ukweli mtupu,
hebu chungulia hapo chini kwa signature yangu,
nadhani imekupa ujumbe murua kabisa!!!!!
 
Mpwa umesema ukweli mtupu,
hebu chungulia hapo chini kwa signature yangu,
nadhani imekupa ujumbe murua kabisa!!!!!
Mkuu signature yako huwa unaifanyia kazi
 
Kwa mfano mi kunywa valuu sio kwamba eti lengo ni kumkera mamaa, ni mambo ya kibinadamu tuuu
 
Kwa mfano mi kunywa valuu sio kwamba eti lengo ni kumkera mamaa, ni mambo ya kibinadamu tuuu
The Following User Says Thank You to GY For This Useful Post:

The Finest (Today)

MKONO MTUPU HAULAMBWI NIDAI SCOTCH MBILI FOR THIS USEFUL POST BY THE HII POST UMEITUMA FROM SMART BLACK LABEL AU VICEROY???
 
Kwa mfano mi kunywa valuu sio kwamba eti lengo ni kumkera mamaa, ni mambo ya kibinadamu tuuu
unamkera seme hana namna. Vipi yeye akiamua kuvuta sigara nyota?
 
The Following User Says Thank You to GY For This Useful Post:

The Finest (Today)

MKONO MTUPU HAULAMBWI NIDAI SCOTCH MBILI FOR THIS USEFUL POST BY THE HII POST UMEITUMA FROM SMART BLACK LABEL AU VICEROY???

Sent from blacklabel, smartdrink powered by dowans

tatizo haya mavaluu hatuwezi kuya DO-ONCE
 
unamkera seme hana namna inabidi avumilie au kama vipi ajidangaye anauzika kirahisi akuachee aona kama hao boys boys watamfwata tena.
Vipi yeye akiamua kuvuta sigara nyota?

Ni mambo ya kibinadamu tuu hata bibi yangu anavuta vyota
 
Hapo kwenye red mhh, :coffee: Asante mkuu.
 
Kwa mfano mi kunywa valuu sio kwamba eti lengo ni kumkera mamaa, ni mambo ya kibinadamu tuuu

Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…