Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

unamkera seme hana namna. Vipi yeye akiamua kuvuta sigara nyota?

Wao wana haki nyingi ndo madai yao.....ukifanya kama yeye utasikia " I hate women who want to be men"..................
 
Mkuu signature yako huwa unaifanyia kazi

Mpwa hii signature yangu,
ndo inayonifanya niishi kwa amani mpaka leo,
fuata nyuki ule asali!
BTW: You can either take it or leave it!!!!!!
 
Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l
:clap2::clap2::clap2:
 
Mpwa hii signature yangu,
ndo inayonifanya niishi kwa amani mpaka leo,
fuata nyuki ule asali!
BTW: You can either take it or leave it!!!!!!
Ha ha ha ha lol!!!!:msela::msela:
 
Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l

Kamata hizi kwanza

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

GY (Today), The Finest (Today)

halafu u can either take them or leave them
 
Akikereka na mavaluu yangu hapo atakuwa anataka kunikera
Ha ha ha ha ha

This message is sent by GY from Smart Vice of no Reason POWERED by Weweeeeee!!!!!
 
Kamata hizi kwanza

The Following 2 Users Say Thank You to Michelle For This Useful Post:

GY (Today), The Finest (Today)

halafu u can either take them or leave them

Khe Kheee Kheeee Sababu nyingine tena...........
 
Ha ha ha ha ha

This message is sent by GY from Smart Vice of no Reason POWERED by Weweeeeee!!!!!

Kijana acha fujo unajua tutashindwa kuvumiliana ujue

Ukishindwa kumvumilia, mvulie!
 
Kweli kabisa....mi nikipiga vichupa vyangu viwili,akili na nguvu ya kufanya kazi za nyumbani baada ya uchovu wa kazi ndo inakuwepo...

Naipenda valuuu jamani......l.o.l

Habari yake valuuuu??!!! Dah michelle umenipa hamu mie ahhh
 
mmeanza kuchakachua kale kathread jamani
 
Eti Dena ukishindwa kumvumilia, si unamvulia tu mambo yananyooka au?

Haswaaaaaaaaaa umenena mkuu. Umeona Michelle kanikumbusha Valuu mie na anajua huku hazipo yaani huyu bwana sijui yukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…