Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

GY, Dena na Michelle wanachakachua umeona eheee Chauro

Hivi ulikuwa hujagundua thread za siku hizi zilivyooo? Ukianzisha ikishachangiwa na watu kama 20 tu kwisha habari yake

INAGEUKA CHAT ROOM
 
Haswaaaaaaaaaa umenena mkuu. Umeona Michelle kanikumbusha Valuu mie na anajua huku hazipo yaani huyu bwana sijui yukoje

Pole Dia ila fanya ivi PUSH: P - Pray U- Until S - Something H - Happens
 
hebu ongea bana....i'll take anything from you....l.o.l

hahahah lol
nasubiri TF aniruhusu kuongea
maana ninachotaka kusema ni kinyume kidogo tu na maoni yake..
si kikubwa sana lol
 
Hivi ulikuwa hujagundua thread za siku hizi zilivyooo? Ukianzisha ikishachangiwa na watu kama 20 tu kwisha habari yake

INAGEUKA CHAT ROOM

Ndo maana yake Dena....TF katoa ushauri....so hakuna ziada...ni ku-chat tu sasa.....life is short na uhuru kwangu unamaanisha kuchat JF na watu nisiowajua.......:laugh::laugh:
 
naomba usikasirike mpenzi
lakini kwa kiasi fulani kidogo sana sikubaliani na wewe
Just say it mpenzi najua kwamba sio kila siku tuko wote positive on what we are thinking, just go ahead and say it
 
HAYA BANA!......

tunaojua kusoma katikati ya mistari tumekuelewa!

Haya Bana!....

lakini mi nilisha kushauri finest.....''finest achana na huyo dem,finest achana nae kaka huyo dem sio mwenyewe,finest mshkaji wangu PIGA CHINI....''

we ukakataa...!unaona sasa?

UNAILAZIMISHA FURAHA SASA ...(kwa kuvumilia)
 
Ndo maana yake Dena....TF katoa ushauri....so hakuna ziada...ni ku-chat tu sasa.....life is short na uhuru kwangu unamaanisha kuchat JF na watu nisiowajua.......:laugh::laugh:

Uhuru wa kuongea mwaya aaahhh maisha yenyewe mafupi si ni balaa hilo ukijipa taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…