Dah nadhani inshu hapo siyo off target maana hata gilikipa akitoka golini tukafunga shida itakuja tena kwenye mechi ijayo maana hata mechi iliyopita tulifurahi baada ya refa kuita kati wakati ilikuwa off side ๐โ.
Tumaini letu tukaweka kuwa labda mechi hii itakuwa nzuri na nafuu sana kwetu, badala yake imekuwa afadhali ya ile mechi iliyopita.
TUOMBE NINI SASA?
1. Badala ya kuomba refa atupe upendeleo mpira uletwe kati hat@ kama ilikuwa kona iwe penalt basi inapaswa tupambanie kupata sheria nzuri za mchezo zitakazofanya kuwa na fair play katika kila mchezo haijalishi REFA NANI. Kwani kuwa wakati mwingine tunacheza na wenzetu wakiwa wamevaa suti badala ya JEZI utashindaje hapo?
Off target nyingine yaja. โ