Ni utafiti gani ambao Tanzania tumewahi kufanya ukatambulika duniani?

Mpemba Effect aligundua Erasto Mpemba



 
Tumegundua mengi mfano;
Kuipinga serikali ni udini
Boda boda ni maafisa usafirishaji
 
Tumegundua mengi, kama vile Risasi ikipigwa hewani inaweza kukata kona na kumpiga mtu na kumuua..
Rejea tukio la kuuawa Akwilina.....
 
Hata hujaelewa mada.

Hayo ya mwezini nimetolea mfano.

Swali nililo uliza je ni tafiti gani hapa duniani ambayo imefanywa na watanzania?

Nilitarajia unitee list ya tafiti na sio kufocus kwenye mfano niliotoa.
Hazipo.
Hao maProfesa na maDr tulionao hawajafanya tafiti zozote ila ni wewe uliwapa zawadi ya titles hizo
 
Hazipo.
Hao maProfesa na maDr tulionao hawajafanya tafiti zozote ila ni wewe uliwapa zawadi ya titles hizo
Mkuu twende taratibu, mfano nchi za wenzetu wanafanya tafiti na tunaziona, kuanzia madawa, space, technology na engineering! Nitajie moja ambayo imefanywa na tanzania ikawika anga za kimataifa.
 
Mkuu Hivi mbona serikali inajaza magari ya thamani pale halmashauri na wizarani kwani madarasa yametosha. Yale magari wanafanyia kazi gani hasa ? Kumbuka kila ngazi kuna kiongozi kuanzia mtaa sasa yale magari ya nini ? Si bora hata zingefanyika tafoti za kutusaidia kuliko unanunua magari yasioleta tija? Ukifankiwa kurusha satelite angani ukauza mawasiliano unatengeneza billions of money kuliko ulizowekeza.

Hoja yako sidhani kama ina uhalisia hapa TZ. Mabilions ya hela yanatumika vibaya japo hakuna huo ufadhili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…