Ni utaratibu gani hufuatwa kubadilishana vituo?

Ni utaratibu gani hufuatwa kubadilishana vituo?

SOLDIER GENIUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
358
Reaction score
241
Wadau naomba msaada, nataka nibadilishane kituo cha kazi, je process anafanya mmoja au wote? Asante
 
Ndani ya wilaya au nje ya wilaya?. kama ni ndani, tafuta kituo kilicho wazi omba kwa mkuu wa idara, kaz imeisha, au unaweza badilishana na mwingine, hizi ndo njia rahisi ila hazina malipo wala gali. pia kama umemaliza zaidi ya miaka mitano kituo kimoja ni haki yako kuhamishwa na kulipwa hata ukiomba mwenyewe.
 
1.Mnafanya wote.
2.Andka barua iptie kwa mkuu wako,mratbu wako wa elim,afsa wako wa elim,afsa elim wa unaebadl
shana nae,mkurugenzi wako na juu kabsa mkurugenzi wa mnaebadlshana nae ktuo....baada ya kusain kwako mnabadlshana barua zksainiwa znarid tena kwako.
3.utasubr kibali kutoka Tamisemi.
4.utakuwa tayar upo kituo kipya.
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri, lkn hiyo si inakuwa barua moja na watu hao wote wanakuwa u.f.s
 
Back
Top Bottom