Wadau
naomba kujua kama is possible kubadili jina ili hali document zangu kama certificates na passport ziko kwenye jina lingine. nataka kubadilisha first name na kutumia jina la ukoo kama Surname badala ya jina la Baba ambalo ni 'common name'. na- feel kama sionyeshi uasilia wangu kwenye majina yote mawili kwa kuwa yote ni ya kisasa. je inawezekana kuomba ceertificate zangu za elimu ya juu zingine zinazofuata pia ziwe ktk jina jipya ingawa kwa sasa natambulika kwa jina hili kitaaluma?
thanks
ULIFANIKIWA KUBADILI JINA MKUU?Jamani na mimi ninashida hiyo naomba msaada, ni kijana mwenye 31 yrs, nililelewa na baba wa kambo mama aliniandikisha kwa jina la baba wa kambo kwenye birth certificate, sasa nimekuwa yule baba alifariki na mama pia so najiona sibelong kabisa huko kwa baba wa kambo kwani wananitenga na mama yangu walikuwa hawampendi, kwa baba yangu mzazi(ambaye pia amefariki) hawana shida kabisa, nilioa kwa jina la baba mzazi na watoto wangu wanatumia jina la ukoo wa baba yangu mzazi kwani mke wangu alikataa katakata kutumia jina la baba wa kambo, sasa passport na vyeti vyangu vyote kasoro cha ndoa ni jina la baba wa kambo nifanyeje nibadili jina kwani naona vibaya wanangu kutumia jina tofauti na mimi.
Dunia hii inamambo si mchezo, kisa penzi la maza ukabadilishiwa mpaka dingi. ...Jamani na mimi ninashida hiyo naomba msaada, ni kijana mwenye 31 yrs, nililelewa na baba wa kambo mama aliniandikisha kwa jina la baba wa kambo kwenye birth certificate, sasa nimekuwa yule baba alifariki na mama pia so najiona sibelong kabisa huko kwa baba wa kambo kwani wananitenga na mama yangu walikuwa hawampendi, kwa baba yangu mzazi(ambaye pia amefariki) hawana shida kabisa, nilioa kwa jina la baba mzazi na watoto wangu wanatumia jina la ukoo wa baba yangu mzazi kwani mke wangu alikataa katakata kutumia jina la baba wa kambo, sasa passport na vyeti vyangu vyote kasoro cha ndoa ni jina la baba wa kambo nifanyeje nibadili jina kwani naona vibaya wanangu kutumia jina tofauti na mimi.
Dunia hii inamambo si mchezo, kisa penzi la maza ukabadilishiwa mpaka dingi. ...
Dushe ama punany zikitumika ipaswavyo zina miujiza ya kuhamisha milima kabisachezea utamu wewe