Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

johnsold

Member
Joined
May 20, 2020
Posts
13
Reaction score
14
Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu.

Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
 
Nunua SIM card kwa watu, tafuta eneo anza kazi.

Tigo pesa Tsh 150,000

Mpesa Tsh 100,000.

Float Tsh 250,000
sio kwamba sim card za watu zitaleta shida maan zinakuwa na alama za vidole za mtu mwingine
 
Mkuu kwa mtaji huo ni ngumu kidogo kufanilisha coz kuna issue za leseni ya biashara, kuna hzo cheap lazima uwe na flaot ya kuweka na wewe unataka zenye majina yako. Ongezea walau ufike 2m unaweza ukaanza.
 
Mkuu kwa mtaji huo ni ngumu kidogo kufanilisha coz kuna issue za leseni ya biashara, kuna hzo cheap lazima uwe na flaot ya kuweka na ww unataka zenye majina yako. Ongezea walau ufike 2m unaweza ukaanza.
Poapoa mkuu ntafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom