J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jan 11, 2021 #1 Ili mtu aweze kufanikiwa Katika Kumshitaki mtu mwingine kwa Usumbufu lazima aweze kuthibitisha vitu viwili:- 1. Uwepo wa usumbufu uliokuwa kinyume na sheria au usiokuwa na sababu za msingi. 2. Kupata Hasara kutokana na Usumbufu uliofanywa. Upvote 0
Ili mtu aweze kufanikiwa Katika Kumshitaki mtu mwingine kwa Usumbufu lazima aweze kuthibitisha vitu viwili:- 1. Uwepo wa usumbufu uliokuwa kinyume na sheria au usiokuwa na sababu za msingi. 2. Kupata Hasara kutokana na Usumbufu uliofanywa.