Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
Wana JF hamdhani ni uzalendo uliotukuka kama watanzania hawamchagua tena KIKWETE kwa kua kazi ile ni mzigo unaohitaji mtu ambaye ana afya imara? Hii itamsaidia kupumzika vema ikizingatiwa kua hakuna kitu mwanadamu anapaswa kujali kama afya yake mwenyewe. Ndio maana ukiumwa unaahirisha mitihani kama ni mwanafunzi, unapumzika kazi kama ni mfanyakazi, huendi shambani kama ni mkulima n.k. Kwa ujumla unapumzika au unapumzishwa. Hamuoni ni uzalendo kumpumzisha Kikwete?:behindsofa:
MWL.NYERERE"............Ikulu ni mzigo mzito,,,,,,mtu anayeng'ang'ania kwenda ikulu mwogopeni kama ukoma.......
kama ikulu ni mzigo Kikwete anasubiri nini kujiuzuru
Basi na tumpumzishe