Ni uzembe kuendelea kuipamba Dar kwa flyovers wakati shuleni na hospitalini hakuna nyumba na vifaa vya kutosha

Uwa naamini kuwa Elimu yetu inadidimia chini kwa kukosa maarifa.
Umenena vyema.
 
Nataka tanzania iwe kama Uraya, nataka wazungu watoke uraya waje watibiwe tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Kama wewe ndo una akili,halafu unapost hvi??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…