Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa mwisho ndo mshindi...Dar es salaam vs NairobiHakuna shaka ni uzi wa kupeana likes, ukifuatiwa na uzi wa makapuku.
Yes, uko sahihi kabisa. Wa mwisho ndio mshindi sijui kwa nini hauishi, halafu wa Dar vs Nairobi kuna watu kama wameweka hisa kule, kila siku kubishaba mambo yale yale.wa mwisho ndo mshindi...Dar es salaam vs Nairobi
[emoji115] True Dar es salaam vs Nairobi ni motoo yani unakuwaga kama movie hivi uzalendo mixer usaliti though mimi sio mchangiaji lakini haipiti siku sijatembelea and wamwisho ndio mshindi huku nipazuri sana unapata marafiki na nimzurisana ukitaka kurefresh..wa mwisho ndo mshindi...Dar es salaam vs Nairobi
kweli aisee[emoji115] True Dar es salaam vs Nairobi ni motoo yani unakuwaga kama movie hivi uzalendo mixer usaliti though mimi sio mchangiaji lakini haipiti siku sijatembelea and wamwisho ndio mshindi huku nipazuri sana unapata marafiki na nimzurisana ukitaka kurefresh..
ule uzi kila nikifungua app naukuta on topYes, uko sahihi kabisa. Wa mwisho ndio mshindi sijui kwa nini hauishi, halafu wa Dar vs Nairobi kuna watu kama wameweka hisa kule, kila siku kubishaba mambo yale yale.
Wameweka hisa HA! HA! HA!Yes, uko sahihi kabisa. Wa mwisho ndio mshindi sijui kwa nini hauishi, halafu wa Dar vs Nairobi kuna watu kama wameweka hisa kule, kila siku kubishaba mambo yale yale.