GAGL JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 392 Reaction score 400 Nov 2, 2010 #1 Hivi kwa hii trend ya matokeo hasa upande wa uraisi, ccm na shingo yao (NEC) wanataka kututhibitishia nini: kwamba sisi watz ni mazuzu tunaochukua almasi feki na kuacha halisi au kwamba wao ni ma-specialist katika kuchakachua?
Hivi kwa hii trend ya matokeo hasa upande wa uraisi, ccm na shingo yao (NEC) wanataka kututhibitishia nini: kwamba sisi watz ni mazuzu tunaochukua almasi feki na kuacha halisi au kwamba wao ni ma-specialist katika kuchakachua?
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 247 Nov 2, 2010 #2 Hata wafanyeje, Message sent and delivered!