Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaWapendwa, bila shaka kila Mtanzania ana shauku ya kuona Katiba mpya inapatikana sasa.
Nitoe rai kwa wenye mamlaka. Ni muhimu sana kutilia maanani suala la upatikanaji wa Katiba mpya sasa.
Kama ccm hawajajifunza umuhimu wa Katiba Bora wakati wa Magufuli basi sikio hilo ni la kufa tu.Wapendwa, bila shaka kila Mtanzania ana shauku ya kuona Katiba mpya inapatikana sasa.
Nitoe rai kwa wenye mamlaka. Ni muhimu sana kutilia maanani suala la upatikanaji wa Katiba mpya sasa.