Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda.
Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo sasa.
Ili kuendeleza utani wa kiwango kilichopo, ni vizuri Simba wapambane washinde ili kuwarejesha mashabiki wao kwenye siasa za utani. Kinyume na hapo, natabiri derby ya kariakoo kuanza kupoteza mvuto. Hata hivyo, naomba niwasihi wanasimba:
Jukwaa hili limekaa muda mrefu bila matusi na kuvunjiana heshima. Ikitokea mmeshinda, msiturejeshe kwenye hali hiyo.
Mmezoea kutukana, kudharau, kuudhi na kuvunjia heshima kila mchangiaji anayetofautiana nanyi. Mkiwa kwenye furaha mjichunge kama wanadamu wenye akili