Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

Ni vema tukaelezwa ni kiasi gani DP world inailipa Serikali kwa mwezi?

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Serikali imeipa DP World baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Hili ni jambo jema kabisa.

Sasa ni vema Serikali ikahabarisha wananchi wake ni kiasi gani DP World inailipa Serikali kwa mwezi ili tulinganishe mapato ya Bandari kabla haijachukuliwa na DP World na mapato ya DP World baada ya kuchukua magati kadhaa katika Bandari ya Dar es Salaam.
 
Hata ukijua kuna mwamba ataiba mabillion huko na hakuna wa kumfanya kitu.
 
sasa kama hukupewa taarifa wakikabidhiwa bandari unatarajia utayajua mapato? Na kina mwafulani watalipwaje sasa mkishajua....
 
Hahaaa🤣🤣Hivi uambiwe ww km nani kama kupeana wamepeana wao huko japo tumepiga kelele wakaona ni kelele za vyura .
 
Hawawezi kukuambia Bora uwaue. CCM kwenye ufisadi hawajambo. Wamefanya hata ripoti za CAG kuonekana kihoja.
 
Back
Top Bottom