Ni vibaya kumtongoza msichana mbele ya rafiki zake

Ni vibaya kumtongoza msichana mbele ya rafiki zake

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
192
Reaction score
17
Hivi jamani itakuwa mbaya kama msichana utatangaza nia (kumtongoza) akiwa na marafiki zake, kwa sababu umemuomba mtoke pembeni kidogo akagoma na kukwambia umwambie hapo hapo.
 
Achana nae kwani atakudharau tu fahamu utongozaji unahitaji faragha na kama yeye kachomoa badi mshiti huyo asikupotezee pesa, muda na akili yako kumfikiria
 
khaa! Kuongea faragha hataki, ivi ni kweli atakukubalia?
Mh! Hata akikubali PI.CHU lake hautaliona!
 
Du! ila jamani mmesema kweli?poa nitafanya hivyo
 
usijaribu hilo....utaishia kufedheheshwa mbele ya shoga zake. Tafuta faragha....
 
Back
Top Bottom