Hivi jamani itakuwa mbaya kama msichana utatangaza nia (kumtongoza) akiwa na marafiki zake, kwa sababu umemuomba mtoke pembeni kidogo akagoma na kukwambia umwambie hapo hapo.
Achana nae kwani atakudharau tu fahamu utongozaji unahitaji faragha na kama yeye kachomoa badi mshiti huyo asikupotezee pesa, muda na akili yako kumfikiria