Ni vibaya kuwashukuru wakoloni wetu kwa mema mengi waliyotufanyia?

Ni vibaya kuwashukuru wakoloni wetu kwa mema mengi waliyotufanyia?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi vitu vilianza kuwepo Africa baada ya Wakoloni kuja.

Hata hivyo historia ya ukoloni inayozungumzwa inaonekana ulikuwa mbaya tu na ambao hawakuwa na faida yoyote Africa.
 
Sad truth: wale jamaa walikuwa na mazuri mengi kuliko sasa.

Ndani ya miaka 70 ya Utawala wao wamejenga;
-Shule, Pugu, Tabora girls na boys, msalato, bwiru boys n.k
-Hospitali, Bugando, Mhimili n.k
-Reli ya kati Dsm-Kigoma
-Majengo ya halmashauri (boma)
-Mashamba ya mkonge, kahawa, chai, n.k
-Meli mfano MV Liemba
#Uhuru walitupa lakini kiuhalisia ni kama hatuko huru.
Kodi, unyanyasaji, rushwa, umasikini, magonjwa, miundombinu duni n.k

Tusake hela, huo ndio uhuru tosha
 
Back
Top Bottom