Sad truth: wale jamaa walikuwa na mazuri mengi kuliko sasa.
Ndani ya miaka 70 ya Utawala wao wamejenga;
-Shule, Pugu, Tabora girls na boys, msalato, bwiru boys n.k
-Hospitali, Bugando, Mhimili n.k
-Reli ya kati Dsm-Kigoma
-Majengo ya halmashauri (boma)
-Mashamba ya mkonge, kahawa, chai, n.k
-Meli mfano MV Liemba
#Uhuru walitupa lakini kiuhalisia ni kama hatuko huru.
Kodi, unyanyasaji, rushwa, umasikini, magonjwa, miundombinu duni n.k
Tusake hela, huo ndio uhuru tosha