Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya shimo.Nilipo saiv Hamna hospitali
Nashauri upate tiba nzuri hakuna juju hapo... Juju gani hilo linachukia vinono?Salaam
Wandugu tatizo langu Ni Hili tumbo kunyonga ni kila chakula kilicho pikwa kwa mafuta kama wali Mboga zilizo ungwa....
Wataalamu tatizo Nini Hapo
Tiba yake Nini?
Asante
Duuuh haya mkuu...vumilia kwa muda ukirudi kwenye hospital uendeNilipo saiv Hamna hospitali
wali Mboga zilizo ungwa.... ni chakula ganiNimepata vipimo Ni ulcers
Pole sana mkuu. ila cha kukushauri jaribu kwenda kupima upate uhakika zaidi ya ni kitu gani hasa kinachokusumbua . ningependa kukuuliza swali, hakuna dalili zingine zaidi ya tumbo kuuma ukila chakula chenye mafuta? Mfano mkojo kuwa wanjano pia na mucous membrane kuwa za njano. Vipi labda tumbo lina uma upande gani vile?Salaam
Wandugu tatizo langu Ni Hili tumbo kunyonga ni kila chakula kilicho pikwa kwa mafuta kama wali Mboga zilizo ungwa....
Wataalamu tatizo Nini Hapo
Tiba yake Nini?
Asante
Asante Mkuu nimeenda hospital Leo nimepima Nina helicobactor pyrori postivePole sana mkuu. ila cha kukushauri jaribu kwenda kupima upate uhakika zaidi ya ni kitu gani hasa kinachokusumbua . ningependa kukuuliza swali, hakuna dalili zingine zaidi ya tumbo kuuma ukila chakula chenye mafuta? Mfano mkojo kuwa wanjano pia na mucous membrane kuwa za njano. Vipi labda tumbo lina uma upande gani vile?