Ni vidonda vya tumbo au juju?

Kipa umbele ni afya kwanza, nenda hospitali kwanza katibiwe halafu ndo urudi kazini.Wewe hutazimaliza kazi kamwe, utakufa utaziacha na wengine wazifanya hawatazimaliza.
 
Ndio ndio Mkuu nimeenda hospital tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…