jamaa vifaa wanavyo vya kutosha, isipokuwa tatizo lipo kwenye njia ya transmission. mara nyingi matangazo hurushwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kutumia microwave link, satellite au internet.satellite link ya 30 minutes inaweza kugharimu up to $1500, ingawa broaband internet inaweza kuwa $2000 kwa mwezi.
ingawa gharama ni kikwazo kikubwa, kwa kiasi fulani kukosekama kwa ubunifu ndiyo tatizo. watu wanaamua kutumia njia rahisi, kwasababu hakuna broadcaster anayependa kuwa creative.