😁😁😁😁😁😁😁😁 Mkuu Tumbo Liliwaka moto pale.Simba wana Pascal Wawa na wale Wabrazil wao na babu Erasto Nyoni. Lamine Moro ni habari nyingine! Leo ameokoa goli la wazi na yeye kuishi kunasa kwenye nyavu.
Jicho la tatu la aliyesimamia majaribio yakeUkiangalia mechi ya wiki lile baina ya timu ya Yanga na Rollers pale Uwanja wa Taifa beki kisiki yule aliliziba vyema kabisa pengo la `Vidic' wa Yanga aliyekuwa katika mgomo wa maslahi yake.
Leo pia Kule Botswana amedhihili kwamba yeye ni mchezaji muhimu wa nafasi anayoichezea ya ulinzi!
Sasa mimi nauliza ni kwa sababu zipi hasa pale Msimbazi mashine ile ilipuuzwa!!!????
Wawa??? Kama hujui huyo wawa akipigwa pressure unamkataa,kama uliangalia mechi vs azam na ilikuwa makini kuangalia mpira na Si kushangilia tu magoli utakuwa uliona Wawa mapungufu yakeKwa simba hawezi kupata namba! Sioni atakae muweka benchi pale, kuanzia Wawa, Nyoni, Gadiel, Mlipili, Zimbwe, n.k
Naloli ukajapohuyo saizi yake ni gongo wazi huku msimbazi hawezi kukimbizana na wakali waliopo. unamuona bora kwa sababu anacheza katikati ya wabovu wenzie
Aisee ile clearance hatariSimba wana Pascal Wawa na wale Wabrazil wao na babu Erasto Nyoni. Lamine Moro ni habari nyingine! Leo ameokoa goli la wazi na yeye kuishi kunasa kwenye nyavu.
Wawa akizidiwa anaanza kupiga pasi kwa golikipaWawa??? Kama hujui huyo wawa akipigwa pressure unamkataa,kama uliangalia mechi vs azam na ilikuwa makini kuangalia mpira na Si kushangilia tu magoli utakuwa uliona Wawa mapungufu yake
FijoNaloli ukajapo
Labda Nyoni, Wawa sijawahi kumkubali kabisa. Akipigiwa pressure anasimama kwenye Kona ndio zero kabisa.Kwa simba hawezi kupata namba! Sioni atakae muweka benchi pale, kuanzia Wawa, Nyoni, Gadiel, Mlipili, Zimbwe, n.k