Ni vigezo gani vinatumika kuteua na kutengua Ma DC

Ni vigezo gani vinatumika kuteua na kutengua Ma DC

Aliyekudanganya kwamba hao Chawa wawili uliowaainisha hapo ndio Wajuzi wa mambo ni nani ?

Ngoja tukusaidie , njia pekee anayoitumia Mteuaji Wakuu wa Wilaya ni kutumia memo (koneksheni) , kwenye kutengua ni tofauti , hapa anaangaliwa aliyeboronga na wale wasiokisaidia chama , wezi na wasio na heshima
 
huyu ameondolewa kusimamia wezi ndio kosa lake?
 
Attachments

  • Video_20221130_181910 (1).mp4
    23.1 MB
Utashi tu wa mteuaji, kama unamsifia sifia sana mkuu na chama basi ni rahisi kufikiriwa kwenye teuzi.
Teuzi huwa ni ngumu sana kwa wenye misimamo thabiti na wanaojielewa.
 
Hakuna vigezo.
Jimmy Carter alipochaguliwa kuwa rais akamwambia CIA boss(wakati huo G.H.W.Bush),akamwambia ,anyaka ujiuzulu nimchague CIA chief mwingine.
Bush akamwambia,kwa nini unataka nijiuzulu? Marais ambao wameingia madarakani bila kumbadilisha CIA chief wamepongezwa sana.
Baada ya kujadiliana kwa muda, Bush akasema,"Nadhani nimekuelewa vizuri,wewe unataka nijiuzulu. Kama unataka nijiuzulu,naweza kujiuzulu!"
Carter akamwambia(impatiently),"That is exactly right. Umenielewa vizuri. That is my wish."
Rais mpya anapokuja madarakani HAHITAJI SABABU KUMFUKUZA KAZI MTU YEYOTE ALIYECHAGULIWA NA MTANGULIZI WAKE. Hiyo ndiyo political practice.
 
Mbona hadi wachapakaz wameachwa! Eg festo kiswaga aliye kua dc kahama,one among best dc walio wahi kuiongoza khm.
 
Back
Top Bottom