huyu ameondolewa kusimamia wezi ndio kosa lake?Aliyekudanganya kwamba hao Chawa wawili uliowaainisha hapo ndio Wajuzi wa mambo ni nani ?
Ngoja tukusaidie , njia pekee anayoitumia Mteuaji Wakuu wa Wilaya ni kutumia memo (koneksheni) , kwenye kutengua ni tofauti , hapa anaangaliwa aliyeboronga na wale wasiokisaidia chama , wezi na wasio na heshima
Amewachwa kwenye uteyuzi?Muache Pasco ana hasiraaa sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajawahi kukisaidia chama , kuna ambayo hupaswi kuyafanya ili kulinda chama , hiyo ndio kanuni ya ccmhuyu ameondolewa kusimamia wezi ndio kosa lake?
Kada wa CCM,uwe na godfather/mother,uwe chawa lia liaNaomba wajuzi wa mambo Pascal Mayalla na Lucas mwashambwa mnisaidie uelewa na wengine wasio na uelewa kama mimi. Hivi ni vigezo gani vinatumika kumteua DC au kumtengua DC.
Hawa walioteuliwa wana sifa gani na waliotenguliwa wana matatizo gani.