sansam100
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 292
- 169
Igaiga sana huyu mtu hakuwa na kipaumbele cha video tangu anaanza, Cinderella inazidiwa quality na moja ya video za kwanza Tanzania "gizani" by Mr Paul, diamond kaanza na nenda kamwambie na akamchukua best director wa Tanzania by then Adam Juma , every move diamond anafanya huwa ananza kwa kuchagua wining team to achieve nadhani mfalme kimba andhani ushindi atauhakikisha mwenyewe bila kushirikiana na watu bora kwenye nyanja zao, to achieve one must choose a wining team in all stages. Mpaka akistuka ndo atajua wengi wanajifunza kwa diamond Tanzania ,Diamond siri yake kubwa ni ubora wa watu waliomzunguka iwe dem au yeyote anaeahirikiana nae na kupunguza uchoyo nako kunasaidia