Ni vigezo gani vinaweza kutambulisha NDOA ya Mungu na isiyo ya Mungu??

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Katika hili, ninyi mna yapi mnayoyafahamu?

Karibuni!
 
huu sasa mtihani na ushekhe Yahaya unahusika naona.
 
Ndoa yenye mungu haina migogoro ya mara kwa mara. Imetawaliwa kwa amani upendo na utulivu. Wanandoa hufanya ibada mara kwa mara na huiombea ndoa yao. Nyuso zao zimetawaliwa na furaha na tabasamu. Umeelewa?
 
Usimruke ukuta mkeo, hapo mbinguni umeshafika bila shaka, na mwanamke usikatae kula koni ya mmeo.
 
huu sasa mtihani na ushekhe Yahaya unahusika naona.

Mwenzangu, sidhan kama Ushehe Yahaya unaingia hapa! hata hivyo siyo mtihani kivile japo tu kuwekana sawa!
 
Ndoa yenye mungu haina migogoro ya mara kwa mara. Imetawaliwa kwa amani upendo na utulivu. Wanandoa hufanya ibada mara kwa mara na huiombea ndoa yao. Nyuso zao zimetawaliwa na furaha na tabasamu. Umeelewa?

Shukrani sana Mwalimu, nimekuelewa vizuri sana sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…