Poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza kuwa kwa Sasa Nacte imebadilishwa imekuwa nactevet ikiwa inamaana ya VETA itakuwa chini yao je, ni vigezo vipi ambavyo vinahitajika kwa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya VETA?
Kujiunga VETA huwa kuna interview inafanyika kwenye mwezi WA Kimi,alafu akifaulu anaanza mafunzo January mwaka unaofatia.kwa maelezo zaidi tembelea website ya VETA.