Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Wana JF naomba msaada kuhusu vigezo vinavyotakiwa mtu kusomea sheria ngazi ya Certificate.
Naombeni msaada wenu please.
Naombeni msaada wenu please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF naomba msaada kuhusu vigezo vinavyotakiwa mtu kusomea sheria ngazi ya Certificate.
Naombeni msaada wenu please.
tembelea website za chuo cha mahakama tanga
mbona fresh tuufaulu wa kiingereza
Inategemea na chuo unachotaka kwenda ila,kwa,kawaida MACTE wanataka uwe na Pass(D) nne nadhani itakuwa nzuri zaidi kama umefaulu English pengine na Civics
mkuu nina Eng D ,Civi D,B/mathe F,phy D,naweza kwenda ama hamna[/ QUOTE]
Sasa hapo naona una D tatu tu hapo inakuwa ngumu kupata chuo jitahidi angalau uwe na D nne
Kama zinahitajika D nne nahisi malengo yangu yanaenda kukamilika