Ni vigezo vipi vinaangaliwa kusoma certificate ya sheria

Amon Mtekateka

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
1,225
Reaction score
333
Wana JF naomba msaada kuhusu vigezo vinavyotakiwa mtu kusomea sheria ngazi ya Certificate.

Naombeni msaada wenu please.
 
Inategemea na chuo unachotaka kwenda ila,kwa,kawaida MACTE wanataka uwe na Pass(D) nne nadhani itakuwa nzuri zaidi kama umefaulu English pengine na Civics
 
Inategemea na chuo unachotaka kwenda ila,kwa,kawaida MACTE wanataka uwe na Pass(D) nne nadhani itakuwa nzuri zaidi kama umefaulu English pengine na Civics

mkuu nina Eng D ,Civi D,B/mathe F,phy D,naweza kwenda ama hamna
 
nasoma hiyo coz UDSM kigezo D NNE ikiwamo ya kiingeleza
 
Kama zinahitajika D nne nahisi malengo yangu yanaenda kukamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…