Ni vigumu kupata kibali cha biashara bongo

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Rushwa bongo bongo umekithiri.Ndugu yangu kazungushwa na hicho kibali mpaka kakubali yaishe.Kosa lake kutokuwa na pesa ya hongo.

Kwa wafanyabiashara humu mna maoni gani kuhusu jambo hili?
 
crime makes the sense of the presence of the government, corruption is government business, buy your right or die.
 
Kweli.wafanyakazi wa serikalini nawachukia .samahani.hawa ni maadui wa kwanza wa wananchi.
 
Kuna watu waliweka post wakasema wanasaidia watu kusajili makampuni na kupata leseni ya biashara.Niliwaambia wao ndio wanachochea rushwa kwani taratibu za kupata vitu hivyo ziko wazi lakini wafanyakazi wa taasisi husika wamekuwa wanazungusha watu makusudi ili wapewe chochote.baada ya kuwaambia hivyo wakanishambulia wakasema wao ni wajasiria mali kwani watu wengine wako busy hawana muda wa kufatilia tratibu hizo,lakini kama kweli mtu yuko busy hwezi kufatilia taratibu hizo je ataweza kusimamia biashara aliyoanzisha kwani hiyo biashara ndio inahitaji usimamizi wa karibu ukichukulia amewekeza pesa kwa kifupi wametengeneza mtandao wa rushwa na si ajabu hata hyo mkampuni ya kusaidi kusajili ni ya kwao ila wanatumia watu wengine.
Tujifunze kwa Rwanda ambako zoezi zima linachukua dkk 45
 
Point nzuri.Ni mwanya wa wafanyakazi wa serikari kupata Rushwa.
 
Back
Top Bottom