Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Pole sana umepotea jukwaa, hizi habari hapa ndio nyumbani kwake.Jamani hizi habari zingine embu tuache, tuzungumzie uchaguzi wa Igunga!!!
<br />Huwa wanawake wanaridhishwa na nini? Utajuaje kuwa kweli unamridhisha mkeo?
Wewe kweli GAGAGIGIKOKOHata kama hiyo siyo formula lakini ukweli ni kwamba:-1 Wanawake wamepewa moyo wa huruma sana hivyo kadili mwanaume anavyojishusha na kuzidi kubembeleza ndivyo mwanamke anavyozidi kuguswa na mwisho lazima atoe. 2 Wanawake ni watu wasiopenda usumbufu wa mara kwa mara. Hivyo mwanamme akikomaa na kumsumbua sana mwanamke lazima avue chupi. 3 Wanawake wengi ni dhaifu ktk kujenga na kupangua hoja pindi wanapokutana na jinsia tofauti. 4 Wanawake ni material focused,wanatanguliza mali,pesa n.k yuko tayari kusaliti
Hao watu 10 wanamtongoza kipindi kimoja au kwa muda gani? Mwanamke anayetongozwa hovyo hovyo regardless anakubali au anakataa mimi naona ana kasoro. Atakuwa anatoa invitation signals.
<br />tuombe Mungu atusaidie hasa kwa wenza wetu kama hali ndio hii lakini shetani ananguvu sana kwa hiyo bila kuwa na imani ni bure kikubwa tushike sana tulichonacho asije mwovu akakichukua
<br />tuombe Mungu atusaidie hasa kwa wenza wetu kama hali ndio hii lakini shetani ananguvu sana kwa hiyo bila kuwa na imani ni bure kikubwa tushike sana tulichonacho asije mwovu akakichukua
Tushaambiwa, ndoa ndoanobado najifikiria siku nitakapokua tayari nimeoa kisha nikaja kugundua my Wife (mke wangu) anacheat,coz hapa tu sasa GF akizingua najihisi kumeza mtu...ndoa ni wito