Kutokana na malalamiko ya mchakato wa mgombea Urais kwa CCM ni vigumu wote waliokatwa kwenye mchakato wa ubunge kutulia.
Lazima kutapatikana kikundi cha upinzani kama tulivyokuwa sisi pale Chadema ya Bwana Mbowe.
Hata kama kikundi hicho hakitasikilizwa na kushinda miaka hii ukosoaji wao utatumika kuleta matokeo mbadala miaka ijayo ndani ya CCM.
"Wote tunyamaze tufanye uchaguzi pamoja na makasoro yote yaliyopo na yatakayokuja halafu baada uchaguzi ndio tuendelee kutafuta mabadiliko na hao hao watakaokuwa wameshinda" Mzee Butiku