Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Huu utaratibu upo. Baadhi tu ya raia hatuujuiili iweje
Hayo ni mambo ya kiuchunguzi, waachie wenye kazi yao. hata ukijua mmiliki wake mwisho wa siku lazima uka report policeHuu utaratibu upo. Baadhi tu ya raia hatuujui
Mfano gari limesababisha ajali na mkahitaji kumjua muhusika..
Hahaha.. kana nomokoli?tatiga mulla
Taarifa hizi ni za siri sidhani kama kwa Tanzania ni publicly available.Hello JF,
Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi.
Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
Mpaka uwe ndani kitengo au uwe na mtu ila mtu wa kawaida huwezi hakuna system inayiruhusu hvoTRA wana system ukiingiza plate number inakupa jina la mmiliki bila chenga.
Iwe mtu binafsi au serikali ita pop-up tu
Mimi nimeuliza hili swali kwakuwa,gari langu lina faini nimeshakamatwa na trafic mara 2,inaonekana ili zidisha speed,eneo ambalo hata mimi silijui,ila leseni iliotumika sio yangu ,wala mtu yoyote nyumbani kwangu,na muda inayoonekana hilo kosa lilifanyika gari nilikuwa nayo mwenyewe...Mpaka uwe ndani kitengo au uwe na mtu ila mtu wa kawaida huwezi hakuna system inayiruhusu hvo
Nenda trafiki peleka lalamiko litashughulikiwa, ila itataka uvumilivu.Mimi nimeuliza hili swali kwakuwa,gari langu lina faini nimeshakamatwa na trafic mara 2,inaonekana ili zidisha speed,eneo ambalo hata mimi silijui,ila leseni iliotumika sio yangu ,wala mtu yoyote nyumbani kwangu,na muda inayoonekana hilo kosa lilifanyika gari nilikuwa nayo mwenyewe...
Hio system mpaka raia wana access nayo?TRA wana system ukiingiza plate number inakupa jina la mmiliki bila chenga.
Iwe mtu binafsi au serikali ita pop-up tu
Hapo maana yake kuna gari lingine lina namba kama yako. Nenda TRA utashangaa kukuta gari lako limeondolewa kwenye usajili na linalotambulika ni hilo lingine lililosajiliwa kimagumashi. Mara nyingi ni yale magari watu wanakopea benki.Mimi nimeuliza hili swali kwakuwa,gari langu lina faini nimeshakamatwa na trafic mara 2,inaonekana ili zidisha speed,eneo ambalo hata mimi silijui,ila leseni iliotumika sio yangu ,wala mtu yoyote nyumbani kwangu,na muda inayoonekana hilo kosa lilifanyika gari nilikuwa nayo mwenyewe...
Kama haujui si unasema tu, kwan umelazimishwa kujibu?! Mwenzako anataka kujua namna ya kumjua m'miliki wa gari kupitia plate namba tuHayo ni mambo ya kiuchunguzi, waachie wenye kazi yao. hata ukijua mmiliki wake mwisho wa siku lazima uka report police
asante sana mkuuNenda ofisi ya bima yoyote ongea nao vizuri watakupa taarifa unayohitaji Wanayo hiyo system