Ni vipi naweza kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu, NIMR au TBS?

seminarian

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
24
Reaction score
26
Kuhama kada inakuaje?

Jinsi ya kuhama kutoka hospitali ya mkoa kwenda maabara ya Mkemia Mkuu au NIMR au TBS au Chief Pharmacist
 
Kama umeajiriwa huko serikalini. Hakikisha umetumikia kwenye kituo chako cha kazi kwa miaka mitatu ndio uanze mambo ya kuulizia kuhama. Na sasa kuna mfumo wa kuhama ila ni kanyaboya
 
Mkuu mimi may 2025 nakamilisha miaka 4 kwenye kituo cha kazi, lakini niko mamlaka ya maji na sina cheki namba mamlaka zote hazina hizo chek na. ndo tumeanza tumepewa cheki namba za mfano za uongo uongo, wanaita dammy cheki namba, nahitaji kuhama niende TRA, TBS, eGA, TCRA AU TANAPA. Mimi ni ict officer ii software developer-web, unaweza nipa njia nyepesi mkuu
 
Mbona kuhamia taasisi kubwa ni jambo linafanyika na ni haki ya mtumishi, thou ni muhimu kujiongeza ili usaidike maana wanaotaka sehemu zenye greener pasture ni lukuki
 
kama una sehem kati ya hizo unakimlango kidogo mkuu, nipe uelekeo ili nijiongeze mkuu
 
Back
Top Bottom