seminarian
Member
- Jun 8, 2024
- 24
- 26
Hivi vijana hua mnafeli wapi..??Kuhama kada inakuaje
Hivi dogo umemaanisha nini sasa hapa?Kuhama kada inakuaje?
Mkuu mimi may 2025 nakamilisha miaka 4 kwenye kituo cha kazi, lakini niko mamlaka ya maji na sina cheki namba mamlaka zote hazina hizo chek na. ndo tumeanza tumepewa cheki namba za mfano za uongo uongo, wanaita dammy cheki namba, nahitaji kuhama niende TRA, TBS, eGA, TCRA AU TANAPA. Mimi ni ict officer ii software developer-web, unaweza nipa njia nyepesi mkuuKama umeajiriwa huko serikalini. Hakikisha umetumikia kwenye kituo chako cha kazi kwa miaka mitatu ndio uanze mambo ya kuulizia kuhama. Na sasa kuna mfumo wa kuhama ila ni kanyaboya
Mbona kuhamia taasisi kubwa ni jambo linafanyika na ni haki ya mtumishi, thou ni muhimu kujiongeza ili usaidike maana wanaotaka sehemu zenye greener pasture ni lukukiMkuu mimi may 2025 nakamilisha miaka 4 kwenye kituo cha kazi, lakini niko mamlaka ya maji na sina cheki namba mamlaka zote hazina hizo chek na. ndo tumeanza tumepewa cheki namba za mfano za uongo uongo, wanaita dammy cheki namba, nahitaji kuhama niende TRA, TBS, eGA, TCRA AU TANAPA. Mimi ni ict officer ii software developer-web, unaweza nipa njia nyepesi mkuu
kama una sehem kati ya hizo unakimlango kidogo mkuu, nipe uelekeo ili nijiongeze mkuuMbona kuhamia taasisi kubwa ni jambo linafanyika na ni haki ya mtumishi, thou ni muhimu kujiongeza ili usaidike maana wanaotaka sehemu zenye greener pasture ni lukuki