Ni vipi naweza kyanzisha kiwanda kidogo?

Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
2,449
Reaction score
2,245
Habari wakuu.

Nahitaji kufahamishwa ni hatua gani zinatakuwa kufuatwa ili mtu aweze kufanikiwa kufungua kiwanda kidogo. Kwayeyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Nahitaji sana msaada wenu wakuu

Nawasilusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…