LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kwamba mkuu kunautaratibu mfano unataka kuagiza spare mfano feb belt ya gari lako imekatika na hauna kabisa ya mfano au namba yake ukienda dukani wanakwambia tupe chesis number ili wakupe aina ya mkanda ambao unafunga kwenye gari yako na hii ndio njia inayotumika hata ukiagiza spare nje ya nchi unatoa tu chasisi number??Nadhani haujaeleweka unachotaka ni nini???
shukrani sana mkuu hichi haswaa ndio nilikuwa nakihitaji aisee. ubarikiwe sana mkuu naomba nikuulize kitu uniangalizie kuna rover 1 imepoteza remote yake so huwezi kuiwasha mpaka remote iweze kufanya kazi sababu imejipiga PIN ya alarm imejiweka immobilizer so naomba uniangalizie aina yake ya remote maana nahisi remote zake zinaweza fanana chassis number SARRSSWLKWM249150kuna software inaitwa EPC (Electronic Parts Catalog) ndio unaingiza vin/chasis no then unapata kujua part no za parts au details zake
Kwa benz tunayo inaitwa mercedes epc ipo online na ya offline,vile vile toyota inayo na brand nyingine zipo
Mfano
![]()
mm nahitaji remote peke yake najua nikiipata hiyo basi tatizo langu linakwisha coz funguo yake ipoSawa remote yake inaweza patikana,ila ukishaipata lazima uingize machine kwa ajili ya kuifanyia adaptation na gari,na itahitajika uingize immobilizer pin code,
Ngoja nikuangalizie funguo yake
umepata hiyo remote? Hiyo chassis number inaonyesha hiyo Rover ni ya mwaka 1998. Ni hizi Rover 800 Series? Funguo wake wenye remote ni kama huu? 0716-904626shukrani sana mkuu hichi haswaa ndio nilikuwa nakihitaji aisee. ubarikiwe sana mkuu naomba nikuulize kitu uniangalizie kuna rover 1 imepoteza remote yake so huwezi kuiwasha mpaka remote iweze kufanya kazi sababu imejipiga PIN ya alarm imejiweka immobilizer so naomba uniangalizie aina yake ya remote maana nahisi remote zake zinaweza fanana chassis number SARRSSWLKWM249150