Ni vipi vigezo muhimu?

Ni vipi vigezo muhimu?

Sir Alfred

New Member
Joined
May 29, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Jamani wana jamii naomba munisaidie ni vipi vigezo muhimu ambavyo mwanamke wa kuwekwa ndani anatakiwa kuwa navyo?Najua kila m2 anavyo vyake bt vile unique kwa kila m2.
 
Jamani wana jamii naomba munisaidie ni vipi vigezo muhimu ambavyo mwanamke wa kuwekwa ndani anatakiwa kuwa navyo?Najua kila m2 anavyo vyake bt vile unique kwa kila m2.
 
mwanamke atakaye kupa peace of mind na kukufanya uwe mwenye furaha
 
kazi unayo mdogo wangu...inaelekea ubado mvulana.
 
hebu subiri ukue kidogo, kisha hizo features zitakuja automatically
 
Back
Top Bottom