Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yakoWanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje?
Elimu yao au taaluma zao?
Ajira wanaombea wapi?
Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
Lazima uwe ( kitengo) shushushu?.Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yako
Hapana sio woteLazima uwe ( kitengo) shushushu?.